Picha ya mmea wa mnyaa. Huu mti ukikata kitawi chake kinatoka ute kama maziwa.